Let’s Wear Kitenge for Work This Week
We are dedicating this week kwa corporate chicas kuvaa vitenge iwe skirt,top ,blazer ,dress you name it mradi tu iwe appropriate for work. power kitenge suit  simple kitenge dress statement kitenge skirt with top love this top jumpsuit  white bow top  and trousers here opt for a blouse and wide leg kitenge trousers  … (0 comment)

Mishono Amazing ya Kitenge For Casual looks #228
Si lazima ushone kitenge sababu ya harusi kama mwalikwa au kazini,waweza shona vimshono kibao kwa kutumia hata kitenge kimoja special kwa ajili ya casual days kama ni friday,au weekend hata travelling cheki mishono hii upate idea shirt dress uvaeje??vaa na flats,gladiators,sneakers ,tupia hata ki jeans jacket two piece hii waweza vaa kwa mtoto hata casual… (0 comment)

Ka Mshono Amazing !
Kamshono amazing sana haka Kamshono Amazing sana haka kwenye video napenda zinavyo sparkle Olowogbogboro!!! Jesus Ome ihe ukwu!!! The Alpha & the Omega!!! The beginning & the end!!! The Miracle worker!!! The way maker!!! The greatest of all!!! The unchangable God!!! The healer of all disease!!! It’s you that I see ohh Jesus!!! CHAII SOMEONE… (0 comment)