KITENGE TURABANS
MUONEKANO HUU WA LEMBA ULIUNGWA ZAMANII ILA SASA UMERUDI TURBANS ITS ALL ABOUT STYLE YAKO MWENYEWE KITENGE CHA PENDEZA VYOVYOTE UKIKIFUNGA. SHARE NASI UFUNGAJI WAKO KWA EMAIL shamyomy@yahoo.com insta @8020fashions tweeter & facebook @8020fashions… (0 comment)