New Arrivals at  Katty Collection ::: Mzigo wa Vitenge Umeingia
Katty collection wakali wa African prints, wana material zote utakazohitaji kwa ajili ya mishono yoyote, from vitenge, batik, wax, woodin material, lace na nyingine nyingi. Pia Ni wataalam was kushona nguo za wote, men, women and kids. Wanapatikana Mikocheni, Mwai Kibaki Rd. (Behind Master Club) Wafollow Instagram: @kattycollection  Open : Monday – Saturday 8:00AM -7:00PM Mobile… (0 comment)

MCM :: Zulu Mkhathini
Our Man Crush Monday ni  Zulu ambaye ali slay kwenye Durban July Weekend akiwa kavaa kitenge/ankara in the bes modern way ,with two pieces a button up shirt and a coat. i would love nishone kimono kama hili koti  he paired his two matching pieces withe white trousers and dressy shoes  being cool   … (0 comment)

Just Fab Ankara Shorts
kila siku tunaona skirts,suruali na magauni but wengi hamshoni shorts za vitenge,so when i saw this lady akiwa amevaa i was like this is actually so chic and fab.Halaf she is plus sized which is even amazing na ame pull off this look so well. styled her shorts with an over sized white shirt love… (0 comment)

The New It Skirt Fashion Girls Are Wearing
Hii skirt wameipa jina la color blocking skirt,inavaliwa sana huko Ghana ,fashion lovers wameipenda,iko tofauti kidogo na skirt tulozoea ni something fresh. Wanaishona kwa ku mix vitambaa mbalimbali na vitege,upande mmoja inakua ndefu mwingine fupi.Zote zinakua pencil skirt . Nana Akubo plus size baby  you can pair it with anything  cold shoulder top  this skirt… (0 comment)

Fab Styles waweza kutokelezea kwa kutumia kitenge
Hello Ramadan Kareem Karibu kwenye segment ya Mishono,today nakuletea njia mbalimbali ambazo waweza kutumia kitenge kutoka kotofauti kidogo. kushona belt ya kitenge kama hii,unaweza valia dresses au skirt zile za kukushika Tumia shati nyeupe au pullneck kuvalia a kitenge top kama hii ,au ambayo ni ya offshoulder au hata ya kata mikono tu  so cute … (0 comment)

Mishono :: Nhlanhla Nciza is a True Modern African Woman
Nhlanhla Nciza bado anaendelea kutukosha na mishono yake kutoka kwenye label yake ya Nn Vintage,the south African Famous Singer kutoka kwenye kundi la Mafikizolo anafanya sana vyema kutokana na uwezo wake wa kushona nguo za kisasa ambazo zinatumia Vintenge na vitambaa aina mbalimbali. We love her outfits ,naona mara nyingi pia model anakua yeye mwenyewe,kama… (0 comment)