Couple slayage: Juma Jux and Vanessa Mdee
When it somes to stylish couples Nafikiri Juma Jux na Vanessa Mdee huwa wanatupia sana,the style duo wanajua only ku slay kamusi yao imejaa kupendeza,ku slay ,kutokelezea,kutupia etc. Happy belated Birthday Jumareeee,ulipendeza kinoma noma,kutupia kiasi hiki ni vizuri kwa Afya zetu za fashion.Show em how its done  Juma worea bespoke Tuxedo suit by Chidy designs… (0 comment)