Jacqueline Mengi’s Earrings on Repeat
Re rocking is nothing new to the world,we see it kwa wenye hela na wasio nazo,there is nothing wrong with it ,japo watu maarufu huwa tuna wa question kwanini wamerudia jamani kua na hela haimaniishi kwamba vitu wanavyovaa hawavipendi na havihitaji kurudiwa . Jacque’s drop earrings za silver amezivaa twice in a week which means… (0 comment)

Jacqueline Mengi out here Giving Girls Ushauri on Beauty
Wasichana wawe wadogo au wakubwa wengi wanapenda kuonekana wazuri ,wako perfect kwa wenzetu wenye hela wanaweza waende kufanya na surgeries to have that perfect body . We all see celebrities kila siku waki change na watu wa kawaida ambao wana strive kufikia perfection kwenye urembo. sasa na social medias zinazidisha hili janga sababu we all… (0 comment)

Jacqueline Mengi Awaasa Wa Tanzania kutumia Mitandao ya Kijamii Vizuri bila kutusi au kukejeli Wengine
Tulishawahi kuwa na campaign yetu ya #Usesocialmediainapositiveway,ikiwa inahamasisha watu kutumia mitandao ya kijamii vizuri kupata habari,kuburudika,kuelimika ,na sio kutukana na kudhalilisha wengine au kuwakejeli. Jacqueline Mengi nae amatumia ukurusa wake wa instagram akihamasisha watu kukumbuka kua utu wetu unabaki pale pale tusitumia mitandao vibaya na kusahau kuwa kuna utu na ni wa muhimu. Ndugu zangu… (0 comment)

Hongera:: Jacqueline Mengi Apata tuzo ya  International Stevie Business Awards
Yes Jacqueline Mengi kupitia  kampuni yake ya  MolocahobyAmorette wameshinda tuzo ya  International Stevie Business Awards  kama Mjasiriliamali bora katika kipengele cha viwanda. Kampuni hii inatengeneza samani za nyumbani na samani hizi ziko kimataifa na zinatengenezewa hapa hapa nyumbani Tanzania #Tanzania ya Viwanda. Jacqueline ametumia ukurasa wake wa Instagram kutoa shukurani zake kwa tuzi hiyo,wafanyakazi wa… (0 comment)

Jacqueline Mengi Shares a Glimpse of what her day at Work looks like
Ni mama,mke ,mjasiriamali pia ,ukiacha kwamba alikua Miss Tanzania mwaka 2000,na mwaka 2004 alitoa Album yake iliyoitwa Nalia kwa furaha. Sasa hivi akiwa mkurugenzi na mwanzilishi wa kampuni ya  Molocaho by Amorette ambayo ni kampuni inayotengeneza samani za ndani kutokea hapa hapa Tanzania. Ameamua ku share kidogo siku yake akiwa kazini inakuaje??Akiwa anapitia designs zake,kuongea… (0 comment)

Ujumbe Wa Jacqueline Mengi kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Muungano Juu ya Umuhimu na Faida za Maktaba
Jacqueline Mengi amekua akisaidia shule mbalimba kwenye ukarabati /ujengaji wa Maktaba za wanafunzi kwenye shule mbalimbali . Ameshajenga Maktaba kadhaa kupitia Foundation ya drntuyabaliwe_foundation  Shule hizo ni kama Kinondoni,Makumbusho na Muungano primary school. Huko kwenye maktaba anaweka vitabu na mazingira mazuri kwa ajili ya wanafunzi kujisomea.Anawapa ujumbe mzito wanafunzi kuhusu utunzaji wa vitabu na maktaba kwa… (0 comment)