CHURCH FASHION OUTFIT IDEA
How dope is this look unapoamua kulidiss koti lako la suti give it a rest plz ,Just wear hiko kivest chake hata kama suti haikuwa na kivest wewe tafuta chochote ulichonacho si lazima kumatch waweza vaa pia na jeans . A perfect look for church as i said waweza switch up things badala ya tai… (0 comment)

WEEKEND IN BLAZERS
HII NI KWA WAKAKA WANAOPENDA BLAZERS NA WANAOZICHUKULIAGA POA BWANA HIZI ZITABADILI MWONEKANO WAKO KABISAA ,WAWEZA VAA FOR BUSINESS,WORK,CASUAL WEWE TU.WAWEZA KUWA NA YA BLACK NA GREY AU BROWN HIZI NI BASICS HIZI ZA COLORS NAZO NZURI . PAIR THE BLAZER NA JEANS,SURUALI ZA VITAMBAA ,SHORTS,TSHIRTS,SHIRTS YANI THE LIST GOES ON.… (1 comment)