Updo Braids style to try
Sasa hivi watu wengi wameamka kwenye suala la kua na natural hair,wengi mno wameacha kuweka dawa. Now box braids au braids ni njia moja wapo ya ku protect nywele zako kipindi ambacho labda baridi,au ukiwa umechoka style moja pia. Au kama zimekatika sana unazisuka kuzisaidia zikue kwa upole bila kuzihangaisha sana na mambo ya kuzichana… (0 comment)