INGIZO JIPYA:FAUX LOCS
HIZI ZINAITWA¬† MARLEY FAUX LOCS NI EXTENSION ZA DREADS NA KAMA HUJUI VIZURI WAWEZA HISI KUWA MTU HIZO NI DREADS ZAKE KUMBE NI AMESUKIA TU.ZIMEKUWA ZIKITREND SANA MAJUU NA HATA HAPA BONGO ILA SIJUI MWAZIITAJE NLIULZA NKAAMBIWA ZAITWA UTAWALETA SASA WENGINE MWAITAJE??TUJUZANE. HIZI LOCS ZASIFIKA KWA KUKAA MUDA MREFU NA PIA WAWEZA OSHA NA KUZISTYLE… (1 comment)

BLUE IVY HAIR DO
BLUE IVY AENDELEA KUCHANWA NA KUBANWA NYWELE SAFARI HII NI MABUTU MAWAILI.KAMA ALIVYOKUWA SPOTTED NA WAZAZI WAKE WAKIWA SHOPPING BLUE AKIWA KABEBWA NA BABA AKE AKIONEKANA SMART NA NYWELE ZIKIWA KWA MPANGILIO MZURI.… (0 comment)