Issa Trend ::: The New It Hair Style
Are these fashionistas telling us tubadilishe hair style zetu tuhamie kunyoa na haka ka way tuweke ,waweza kuweka color pia .The hair do is just so chic naona wote walonyoa hivi wamependeza isije kua wana damu nzuri mnajuaga ile unapendeza mtu anasema unadamu ya nguo kumbe umefanya outfit planning ndo hii sasa wamenoga. Da Shamim… (0 comment)

Nancy Sumari Styles her Wig
Well she is a naturalista but right now she wears wigs ,she is still natural but ameamua kujaribu something different. Which is fine kila mtu anataka changes right ????but the good thing ni kwamba inside her wigs she is still natural ,na ata acha kuvaa wig one day and flaunt her hair . kwa wale… (0 comment)