Updo Braids style to try
Sasa hivi watu wengi wameamka kwenye suala la kua na natural hair,wengi mno wameacha kuweka dawa. Now box braids au braids ni njia moja wapo ya ku protect nywele zako kipindi ambacho labda baridi,au ukiwa umechoka style moja pia. Au kama zimekatika sana unazisuka kuzisaidia zikue kwa upole bila kuzihangaisha sana na mambo ya kuzichana… (0 comment)

Diamond Platnumz Rocks Mohawk Braids ,Yay or Nay
Kua msanii means ni kubadili muonekano wako mara kwa mara ,watu au mashabiki wasikuzoee,baada ya kiduku cha muda mrefu East African Finest Musician Diamond Platnumz decide to rock braids. The braids zimesukwa style ya Mohawk  na ni ndefu waziona shingoni kabisa. Japo hatujui hizi ni rasta za aina gani angemsuport Mama Dee na lile dili… (1 comment)

Bantu Knots Hair Do Inspiration From Ciara
Ciara ametoa new video Freak Me Out and we love her Bantu knots and the way wamevaa Vitenge inshort the Video is amazing ,love the dance moves too. Sio kitu kipya but kumuona Ciara anavaa vitenge tunajivunia sana u Africa wetu. Mambo ya makeup free hapa hata nyusi hazikutengenezwa  Legs for days… (0 comment)