TBT TO PATA MUONEKANO WANGU ”GML” ATHLETIC CHIC LOOK
Post hii nayo ya pata muonekano ilibamba mnooo,jamani nani kamiss hizi series za Pata muonekano???share kwa comments below SHIRT DRESS BY UPS FASHION WEAR WANAPATIKANA ::NAMANGA NEAR EDDO CHIPS INSTAGRAM ::@UPS_FASHION_WEAR WACHEKI ::0717 835222 MY HAIR STYLE :: NATUMIA SHEAR MOISTURE PRODUCTS UTAZIPATA BACK TO AFRICA CHUMBA NAMBA 70 DAR FREE MARKET #T444ZHAIRFOOD & NA… (15 comments)

PATA MUONEKANO WANGU :”GML” :COLOR COMBO
PURPLE HIGH LOW  TOP &  YELLOW PANTS  ::THE GLAMOROUS FASHION, WAKO SINZA MAPAMBAN0 , SIMU YAO +44 7533 26 60 14 (WHATS UP INAPATIKANA ) INSTAGRAM ::@THEGLAMOROUSFASHIONS MAC LIPSTIC @THEGLAMOROUSFASHIONS   MID HEEL RED TIE SHOES ::VIATUZI WANAPATIKANA ::MBUYUNI & UPANGA SEA VIEW INSTAGRAM @ VIATUZI WASILINA NAO::0715 850 855 MY HAIR STYLE ::NATUMIA SHEAR… (11 comments)

PATA MUONEKANO WANGU:: NACHECHEMEA NDANI YA CL ‘UNYAYO MWEKUNDU’
NI KWENYE MAZOEZI YA  UVAAJI WA HIGH HEELS  ME VILE AMBAVYO NAJULIKANA KWA UVAAJI WA WA KT /KANYAGA TWENDE  (FLATS)  ILA NILIWAAMBIA NINA SPONSORS WAKUNIVISHA  VIATU ILI AWEZE UZA ZIKIWEMO CL , KUNA MSAMARIA AKANIPA HIVI VYAKE KWA AJILI YA MAJARIBIO LAKINIIII YAaaaameeeniifikaaa Haaapaaa (in SUDBROWN VOICE) BLACK SKIRTS :: THE GLAMOROUS ::THE GLAMOROUS FASHION,… (0 comment)

EVENT ::LUVTOUCH MANJANO LAUNCH
EVENT:LUV TOUCH MANJANO LAUNCH VENUE:DIAMOND JUBILEE VIP HALL TAREHE:31st MAY 2015 MGENI RASMI:MAMA TUNU PINDA MC :ANGELA BONDO MUSIC:SAXOPHONIST BRIAN /DJ BONNYLUV ORGANISER:SHEARILLUSIONS PICTURES THANKS:BRAINBONGOSTUDIOS DECOR ::MARIO UKUMBI     MEZA KUU   SHEKHA AKISINDIKIZWA KWA JUKWAA NA IRENE PAUL SHEKHA NASSER MKURUGENZI WA LUV TOUCH MANJANO PRODUCT YAKWANZA YA UREMBO AFRICA MASHARIKI NA YA… (0 comment)