Look and Learn how to Style #01
Kwenye instagram watu ni wengin sana na most ya influential people kwenye fashionindustry wamo humo,kuanzia designer,bloggers ,stylist etc So instagram imekuwa platform kwa fashionistaz kuonyesha mavazi yao,but wengi pia wakiwa wanatuhumiwa kuwa wanaigana style sababu mwanzoni insta haikuwa maarufu bloggers na fashionistaz walikuwa na style zao unique but nowdays ni mwendo wa planned outfits ,nani… (0 comment)

How to get clear skin at home with these simple ingredients #01
Kila mwanamke anataka picture perfect, flawless skin ,clean and beautiful skin ni moja ya element kubwa sana kwenye urembo wa mtu ,ukiwa na ngozi nzuri basi  hata uta feel vizuri zaidi. Ngozi inaweza kuharibika kwa sababu ya vitu vingi kama stress,kukosa usingizi  , poor nutrition, pollution, mionzi ya jua nayo ni hatari kwa ngozi zetu (damage… (3 comments)

Art Design Love from Devin Tracy
I saw hii art kwa page ya Therealswizzz,mbali na kumpenda Alicia Keys i loved what Devin did to her Afro Davin Tracy ni artist anafanya kazi poa kwa kutumia maua anabadilisha kabisa mionekano ya mastaa kibao. Hawa ni baadhi ambao nilipenda Transformations zao za nywele walizofanyiwa. Solange na hongera zimfikie Solange  kwa Album yake mpya… (0 comment)

Stylish Ways Wendy Edson Rocks Her Kimono’s
Kimono ni moja ya Accessory ambayo fashionista wengi wanapenda kuzivaa katika kuongeza nakshi basi kwenye mionekano yao pia ,sometimes husaidia basi kukiwa na baridi ,waweza tumia kimono pia kama a beach cover up Let’s see how Wendy rocks her’s floral Kimono with a beige jumpsuit and made the look more interesting by adding snake prints… (0 comment)