#TBT :: UNA STRESS????VYAKULA HIVI  VITAKUSAIDIA KUPUNGUZA STRESS
Tucheki leo vyakula vinavyosaidia kupunguza stress ukiona stress zimezidi muone daktari just kidding ,stress zikizidi muone mshauri Kuna ile sms inazunguka kwa watu inasema STRESS NI PALE UNAPOKUTA MISSED CALL YA MANFONGO KWENYE SIMU YA MKEO  HAINAGA USHEMEJI TUNAKULAGA  SPINACHMAPARACHICHIALMONDS SALMONMILKGREEN TEAORANGESBLUEBERRIESDARK CHOKOLATEBROWN RICE Ukihitaji kujua zaidi soma HUMU ,EATINGWELL… (0 comment)

5 TIPS ZA KUA MIKONO SOFT.
Dry hands inaweza kuwa imesababishwa na vitu vingi, either baridi au hata kuwa hau-moisturize mikono vizuri ndio maana mikono yako inakua inakauka na hata kupasuka, unatokewa cracks. Ni ngumu sana kupata moisturizer ambayo itapenda ngozi yako na kukusaidia ngozi iwe laini, sio lazima kutumia hela nyingi kununua cream ambayo itaondoa hilo tatizo, unaweza pia kutumia… (0 comment)

Tips /Learn How to Accessorize Your Look
Huwa wanasema Accessorize can make or break your outfit,since kila mtu anataka ku zimsaidie ku make an outfit video hii basi itakusaidia kukupa tips na ushauri wa jinsi ya kuongeza vitupio kwenye muonekano wako. Nigerian celebrity stylist Yummie anakupa tips,kashamvisha mtu kama Rita Dominic,Stephanie Okereke na wengine kibao Enjoy and Learn… (0 comment)

DAPPER LOOKS FROM  KRISTOPHER AIYEH
Simple men’s look ,be inspired by Kristopher Aiyeh Mix and matching look matching the bow tie with shoes go matchy matchy  add prints like checkers African prints will always be your perfect choice  Add fur for a more stylish and glamourous look get an It blazer for a night out florals for a fun day… (0 comment)

ON THESE RAINY DAYS LET’S TBT TO  DIAMOND PLATNUMZ BEING  OBSESSED WITH HIS KNIT BEANIE HATS.
Ni rainy season so kuvaa beanies is acceptable unless upo kwenye corporate world but waweza vaa kwa weekend Beanie Hats Yassss So nimekuwa namfatilia Diamond anavyovaa its natural this is a fashion blog ,so hizi kofia zaitwa Beanie hats jina lingine ni Winter hats and kibongo bongo twaita Boshori au tusema Arusha hili jina ndo… (0 comment)

Zifahamu Sehemu Muhim za Kuspray Perfume Ili Ikae/Idumu Siku Nzima Mwilini
Mara nyingi kwenye kuspray perfumes /scents zetu sehemu common tunazojua ni SHINGONI,KWENYE WRIST,NA KWENYE NGUO this is all wrong kama ulikuwa wafanya hivi ,time to change up. Unakuta perfume ni nzuri tu but wajiuliza kila siku mbona haidumu siku nzima????well makosa ndo hayo na mengine nakujuza kaa nami. 1.CHANGUA THE RIGHT PERFUME Hiki ndo cha kwanza… (2 comments)