Style Crush::Becca
We love Ghanaian Star Becca ,she has an impeccable style ,ni naturalista pia ,huwa anapendeza mno,she is also in trends naona anajaribu trends hapa na pale . Mash Allah ana figure love this bell sleeves jumpsuit kitenge top with white skinny jeans  Double denim  embroidery dress hair do on point  white affairs  African touches… (0 comment)

Our Fashion Muse of the Day::Kelly Rowland
Kelly Rowland ni moja ya fashionistaz ambao nawapenda na huwa wanapendeza sana,her style is so chic .Her body type nafikiri inachangia yeye kupendeza sana. i mean this outfit ,so chic and stylish sequins and velvet  lace is never out of style Pajama style outfit  long coat and velvet shoes and trousers sheer lady in red… (0 comment)

PATA MUONEKANO:::PINSTRIPED JUMPSUIT
HAPPY NEW YEAR WADAU WA 8020 FASHIONS BLOG HAKIKA MWAKA WA 2016  TUNAMSHUKURU MUNGU ULIKUWA MWEMA ,TULIWEZA KUANZISHA YOUTUBE CHANNEL ZEZETV ,8020 FORUM UWANJA WA WANAWAKE KUONGEA,NA HATA BLOG YETU KUKUA NA KUWA NA POST PENDWA KAMA WALONOGA,MISHONO,PATA MUONEKANO ,WEDDINGS NK.  8020 FASHIONS KAMA BLOG IMEKUA SANA NA MATARAJIO YETU NI KUKU ZAIDI,NA KUKULETEENI BASI VITU… (0 comment)

TBT TO PATA MUONEKANO WANGU ”GML” ATHLETIC CHIC LOOK
Post hii nayo ya pata muonekano ilibamba mnooo,jamani nani kamiss hizi series za Pata muonekano???share kwa comments below SHIRT DRESS BY UPS FASHION WEAR WANAPATIKANA ::NAMANGA NEAR EDDO CHIPS INSTAGRAM ::@UPS_FASHION_WEAR WACHEKI ::0717 835222 MY HAIR STYLE :: NATUMIA SHEAR MOISTURE PRODUCTS UTAZIPATA BACK TO AFRICA CHUMBA NAMBA 70 DAR FREE MARKET #T444ZHAIRFOOD & NA… (15 comments)