NATURALISTA:CYNTHIA
NI NATURALISTA NA FASHIONISTA NA TWAWALETEA MITINDO MBALI MBALI AMABYO HUWA ANASTYLE NYWELE ZAKE. HII WANAIITA UP DO KIJINJA CHABANWA KUELEKEA JUU SIDE AND DO VITUPIO KAMA HEAD SCARFS ZAHUSIKA PIA FRO    LOVE THE BIG HAIR DON’T CARE  CREDIT:SIMPLCAN… (0 comment)

Hivi ndo Fellow Blogger Missie Popular anatoa Ushamba,Umenoga haswaaa
Missie popular aka Fellow blogger kama Da Zeze anavyopenda kumuita ameibukia kwenye u model ,nafikiri ndo kule kuelekea kutoa ushamba ambao wengi walimwambia na akakubali akasema atabadilika,i see the come back is pretty amazing ,am sure watu washasahau walikuita mshamba. kama hujui tunaongelea nini cheki video yake hapa chini akikubali yeye mshamba na vitu ambavyo… (0 comment)

Erykah Ijeoma Achebe Fashionista ambaye Style yake Sio ya Sport Sport Hadi amekua featured kwenye Vogue
Anaitwa Erykah ,we cant handle her style on mother Earth huyu aende kwenye sayari ingine,sio kwa style hii. You have to be natural to love or understand her fashion sense ,kwakweli sio ya sport sport,uwezo wake wa kuvaa ,mix and match piece sio wa kitoto ,kimsingi she is not our average fashionista. Anajulikana sana kwa… (0 comment)

Jokate Mwegelo Wows in a burgundy lace off shoulder dress by Jacquescollection
Its Jojo from Adidas track suit to a glamorous lace dress by jacquescollection,hakika kidoti is a true fashionista The dress ina embroidery nzuri na zinavutia and akashona an off shoulder short dress how beautiful is she???? she paired her beautiful dress with gold pumps,make up by divaglam beauty ,hair by Rehemasamo beauty and brain alialikwa… (0 comment)