Re-Rocking Lessons from Tanasha Donna
Moja ya wadada marufu East Africa kwa sasa ni Tanasha,ofcourse yeye ku date na Dimaond kumemuongezea umaarufu japo tulimjua kutoka kwenye Video ya Ali Kiba ile ya Nagharamia. Well i love her love for Re rocking her staff ,hana mchezo let it be Wigs,handbag au shoes . Pink Mini bag shoes Pink Wig… (0 comment)

FASHION TANZANIA:JINSI YA KUVAA VIJASTI/CROP TOPS
CROP TOP ZIMEKUWA KWA FASHION MUDA NA ZIMPENDWA ILA WENGINE WANASHINDWA WAVAEJE MAANA WENGI KUACHA TUMBO NJE ITS NOT THEIR CUP OF TEA CHEKI HAPA MAY BE WAWEZA PATA NSPIRATION NAWE UKAJARIBU 1.PENCIL SKIRT:WAWEZA JARIBU NA PENCIL SKIRT KWABA SKIRT ITASAIDIA KUFUNIKA TUMBO  2.HIGHWAISTED PANTS :PIA MNAOWEZA KUVAA CROP TO NA KUACHA TUMBO NJE  3.FULL SKIRT… (0 comment)

Look Of the Day
Lavido is so stylish ,she tandika on her insta page kwamba Awake.Blessed.Grateful…….. “You will never be stylish if you don’t take risks”…I just did 🙂 how stylish is she??? Kavaa a striped shirt na hako ka dress ,vimeendana sana pamoja   … (0 comment)

This is how you Wear Monochrome Outfits like Aimee Song
Moja ya influential fashion bloggers/you tubers and influencer Amiee Song wengi wakimjua kama songofstyle ,ni maaster wa kuvaa monochromatic looks. Monochromatic look ni ile una match labda top na suruali au skirt ,si lazima ziwe exact color yaweza kua moja imekolea ingine imepauka kidogo,ziwe na color pallet moja . Maroon white and nude  purple neutrals … (0 comment)

This Is How To Wear The Trending Fishnet Style.
This fishnets trends imesambaa sana huko kwa wenzetu. Fashionistas going to clubs, styling them with skirts, trousers, and more.. Huku bongo tumeona wachache sana walioweza kui-rock hii style like Rosa ree na wengine..but what we are waiting for Ni more fashionistas watuoneshe style zao kwenye hii trend… Check out some of these women rocking the… (0 comment)