Nancy Sumari ,Faraja Nyalandu and Jacqueline Mengi Show us Perfect Shoes to wear on these Rainy Days
Sasa hivi ndo kipindi cha mvua ,na viatu vinaharibika sana vikiingia maji kwa muda mrefu especially kama mvua kila siku ina nyesha. Faraja na Jacqueline walipost hizi picha kwenye insta page zao na ni perfect inspirations kwa kipindi hiki cha mvua.Ni boots hizi kuna zenye heel na za flat. Nancy Sumari in all black and… (1 comment)

ON THESE RAINY DAYS LET’S TBT TO  DIAMOND PLATNUMZ BEING  OBSESSED WITH HIS KNIT BEANIE HATS.
Ni rainy season so kuvaa beanies is acceptable unless upo kwenye corporate world but waweza vaa kwa weekend Beanie Hats Yassss So nimekuwa namfatilia Diamond anavyovaa its natural this is a fashion blog ,so hizi kofia zaitwa Beanie hats jina lingine ni Winter hats and kibongo bongo twaita Boshori au tusema Arusha hili jina ndo… (0 comment)

Mamiss hawa wa Zamani Walivyovaa at the Unicefat70 Celebration from Faraja Nyalandu ,Hoyce Temu na wengine
Juzi UNICEF walikuwa wana timiza miaka 70 ya huduma for every child. Kauli mbiu ikiwa ni Tumaini, Afya na Elimu. ?#Unicefat70 #Changemakerforchildren Kulikuwa na Mamiss wa zamani wakiwa nao wanashiriki kwenye event hiyo . and this is what they wore  Jokate wore a nice red maxi dress with a bow ,paired na pumps  Hoyce Temu wore… (0 comment)

Idris Sultan Looks Dapper in a dark blue notch lapel check suit by Designer Mtani Nyamakababi
Idriss ndo kakataa kuitwa shemeji NDUKIIIII well he has been modeling for Mtani for sometime na hapa amevaa a dark blue notch lapel check suit with a blue shirt left some buttons unbuttoned for a more sexy look and a little to the imagination and a polka dots pocket square and dressy shoes  follow Mtanibespoke … (0 comment)