KIASI GANI CHA KUWEKA KWENYE AKIBA YA DHARURA /EMERGENCY FUND .
KIASI GANI CHA KUWEKA KWENYE AKIBA YA DHARURA /EMERGENCY FUND .⠀ ⠀Unaweka pesa za miezi 3 mpaka 6 ya living expenses zako/matumizi yako mfano chakula,usafiri ,mavazi ,kama una ada za shule etc.⠀So unaweka hela za matumizi yako ya mwezi ,unachukua kiasi cha miezi mitatu ndo unaweka.⠀Mfano kama matumizi yako kwa mwezi ni laki mbili sasa… (0 comment)