Elizabeth Michael anauza Nguo zake for A good Course #savemyvalentine
Wanamuita Lulu lakini jina lake halisi ni Elizabeth Michael,amepost picha mpya kwa instagram page yake akisema kwamba valentine hii anataka kuuza nguo zake ambazo we all know ni nyingi ,nzuri na za gharama. Na fedha zitakazo patikana basi zitaenda kwa watu wenue uhitaji katika jamii . We love this initiative kwakweli,watu wengi maarufu mngefanya hivi… (0 comment)

Elizabeth Michael aka SLAYER Sasa Yuko huru
 Wengi tulikuombea umalize salama kuanza kesi ina anza mpaka kumalizika kwake.Sisi kama wadau wa bongo Movie na Mitindo tunampongeza Mwigizaji Elizabeth Michael kwa kumaliza kifungo chake na sasa kua huru. Alikua akitumikia kifungo hicho cha nje kwa muda wa saa akiwa nje na November 12 leo ndio anakua huru.Lulu alipangiwa kifungo cha nje akiwa anafanya… (0 comment)

Breaking News::: Lulu Atolewa Gerezani ,Sasa Atatumikia kifungo cha Nje
Hii ni good news kwa walio wengi wetu na mashabiki wa Elizabeth Michael aka Lulu,Muigizaji huyu wa Bongo Movie amebadilishiwa adhabu kwa amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania na sasa atatumikia kifungo cha nje. Lulu alihukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kuua bila kukusudia .Hukumu ya kesi hiyo ilisomwa… (0 comment)