Barcelona vs Liverpool kwa DSTV
Kwenye UEFA Champions league hali si shwari , Tottenham wapigwa 1 jana na Ajax, leo ni zamu ya Barcelona vs Liverpool, Je matokeo yatakuwa vile wengi wanavyo yategemea? Lipia @dstvtanzania yako kuangalia mechi hii LIVE kupitia SS5 kifurushi Compact Plus. #SSFootball#MotoHauzimi… (0 comment)

Leo katika kipindi cha #MAISHAYANGU utakutana na nyota wa filamu Yvonne Cherrie maarufu kama Monalisa, akituelezea juu ya safari yake tangu alipoanza hadi sasa. Usikose kutazama kipindi hiki saa 3:30 usiku ndani ya @MaishaMagicBongo chaneli namba 160 inayopatikana kuanzia kifurushi cha @dstvtanzania Bomba kwa shilingi 19,000 tu #DStvInogilee DStvTanzania… (0 comment)

Wiki hii kwenye Madhubala Baada ya Baraj kuona tangazo la mtoto kwenye gazeti anahudhuria mahafali ya kumkaribisha Madhubala nyumbani kwa Roma wanaleta vurugu inapelekea Padmini kufukuzwa hapo uswahilili na wananchi wakihofia maisha yao, akiwa njiani na binti zake wanagongwa na gari Padmin anafariki hapo hapo, je ni nini Malik atamfanya Baraj? Usikose Tamthilia yetu pendwa… (0 comment)

Baada ya kuondoka na ushindi wa 0-1 pale Old Trafford, Barcelona wanategemea kuwa makini zaidi nyumbani kwao kwani Manchester United wanao uwezo wa kushinda ugenini kama walivyofanya kule Paris dhidi ya PSG kwenye raundi iliyopita. Hata @official Mwalubadu ana amini hivyo. Wewe unaonaje? Kujiunga piga 0659070707 DStvTanzania MotoHauzimi @dstvtanzania… (0 comment)

Wikiendi iliyoshiba na Supersport, Ni Man United vs Watford, Fulham vs Man City Jumamosi wakati Liverpool vs Totten Ham, Cardiff City vs Chelsea ni Jumapili hii bila kusahau Arsenal vs Newcastle United Jumatatu Je nani kubaki top 4 kwenye msimamo wa ligi baada ya mechi hizi? Tupia utabiri wako… MotoHauzimi na @dstvtanzania DStvTanzania… (0 comment)

Mteja wa kifurushi Bomba lipia Family 39,000 upate Compact sh.69,000 ufurahie mechi zote za Premier League
Ni Mwendo wa TIA KITU PATA VITUUZ na @dstvtanzania, Lipia kifurushi cha juu ya kile unachotumia kisha kupatiwa cha Juu zaidi, mteja wa kifurushi Bomba lipia Family 39,000 upate Compact sh.69,000 ufurahie mechi zote za Premier League ikiwemo Liverpool vs Tottenham inayochezwa Jumapili hii, unaionaje hii? TIA KITU PATA VITUUZ!! DStvTanzania #MotoHauzimi… (0 comment)