DStv yawasha moto kuelekea AFCON U17
Katika kuhakikisha kuwa Tanzania inaendeleza wimbi la ushindi katika michuano ya kimataifa na Watanzania kushuhudia mubashara timu yao DStv imetangaza rasmi kuwa itarusha mubashara michuano ya kombe la AFCON U17 2019 na hivyo kutangaza kampeni maalum ya kuhamasisha ushindi kwa timu yetu ya Serengeti Boys! Akizungumza katika hafla ya kuzindua kampeni hiyo ya DStv ijulikanayo… (0 comment)

MultiChoice yatangaza fursa kabambe kwa wadau wa filamu .
Jumanne Machi 19, 2019:MultiChoice Tanzania imetangaza  fursa ya kipekee kwa wadau wa tasnia ya filamu Tanzania na barani Afrika kwa ujumla ijulikanayo kama MultiChoice Talent Factory Portaliliyodhamiria kuleta mapiduzi ya hali ya juu katika uaandaaji wa filamu zenye viwango vya kimataifa kutoka barani Afrika. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa programu hiyo, Mkuu wa kitengo cha… (0 comment)

Wateja wa DStv waula kwenye Promosheni
Wateja 15 wa DStv wameibuka washindi wa wiki ya kwanza ya promosheni ya “Tia kitu pata vituz” inayoendeshwa na MultiChoice Tanzania. Kampeni hiyo itakayodumu kwa wiki 8, itakuwa ikitoa washindi 15 kila wiki hivyo jumla ya washindi 120 katika kipindi chote cha promosheni Promosheni hiyo ni kwa wateja wote wa DStv ambao watalipia vifurushi vyao kabla havijakatika. “Mteja… (0 comment)

Tanzania yaibuka Kidedea Tuzo za Kimataifa
Tanzania Kinara tena tuzo za ‘DStv Eutelsat Star Awards’ ·         Priscilla Marealle awaburuza maelfu kutoka kote barani Africa ·         Ni mara ya tatu mfululizo Tanzania kuonyesha cheche zake ·         Majaji washangazwa na uwezo mkubwa wa mwanafunzi huyo Mtanzania ·         Wazazi, Waalimu na Marafiki wasema alistahili tuzo hiyo Jumatano March 06, 2019.  Kwa mara nyingine tena Tanzania imeibuka kinara  katika tuzo… (0 comment)

Mpya kutoka DStv, hii ni Stet UP!
Lipia kifurushi chako cha DStv leo kabla hakijakatika kisha unapatiwa  kifurushi cha juu zaidi ya kile ulicholipia kwa kipindi cha mwezi mzima bila malipo ya nyongeza, Yaani mteja wa Bomba akilipia kifurushi cha Family 39,000 atazawadiwa kifurushi cha Compact sh.69,000. Mteja wa Family  akilipia Compact 69,000  anapata kifurushi cha Compact plus 109,000 na yule wa Compact akilipia… (0 comment)