These Women Rocka the Power Suit by Ki2pe Suits
Women kila mtu ana hitaji that power suit.Moja ya designers ambao wanafanya vyema sana kwa sasa ukiachia Sheria Ngowi au Mtani bespoke. Ki2pe anafanya vyema sana ,na he is real good,hata wadada wengi naona wanaenda kushonewa hapa pia.Na you can see the cut na shape hata fitting  ilivyo nzuri love this chocolate/brown flani hivi am… (0 comment)

Jinsi ya Kutamka kwa Usahihi Majina Makubwa ya Brands za Fashion kwa kizungu
Hapa huwa nachefukwa sana ,tunakosea mno kutamka majina ya brands kubwa za fashion duniani,sio sisi tu hata wa huko kwao nao hawapatii kivilee Majina ni magumu pia tusikatae ni sawa mzungu umtamkishe sasa hivi jina la Kokumanyuruza ,Mkakamili nk ,so na sisi tujitahidi especially sie wadau wa mitindo tunaopenda vitu vya designers hata vya mtumba tu.… (0 comment)

David Beckham Launches Latest Collection With His Wife  Victoria Supporting him
David Beckham anafata nyayo za mke wake Victoria Beckham ,naona kama familia ambayo iko so stylish wana share their designing side na fans wao muwe stylish pia.   Last look from today’s show @kentandcurwen #lfwmss18 #kentandcurwen A post shared by Daniel Kearns (@daniel.kearns) on Jun 11, 2017 at 1:51pm PDT Beckham ame launch collection mpya… (0 comment)

Jason Derulo Launches a Clothing Line why?Because ‘People Are Going to Want to Look Like What I Look Like’
Mbali na kua na juu kimuziki na style yake kwa ujumla  ya uchezaji, nywele street wear,Jason Derulo ame partner na Antonio Brown na LVL XIII katika muendelezo wa mapenzi yake kwa fashion kwa ujumla,tangu mwaka jana alianzisha collabo hii na Antonio Brown na mwaka huu August the collection itakua out. ‘My style is pretty close… (0 comment)

Jihan Dimack’s National Costume at the Miss Universe 2017 Designed by Diana Magesa
This is what Jihan Dimack wore for the National costume competition huko Philippines alipokuwa kwenye mashindano ya Miss Universe . na designer ni Diana Magesa ,nilimtafuta DM kucheki kama tunaweza pata info mbalimbali kuhusu hii design but hajanijibu so thats that i was curious kujua the story behind na inspirations kwa ujumla na nini alitumia… (0 comment)

PERONI FASHION NITE TANZANIA 2016.
Peroni fashion nite ilikuwa last Saturday, where we got to see some great talent from our very own Ally Rehmtullah and other upcoming designers. Those who got to show case their work on that nigh where Ally Rehmtullah, Manyatta Fashion house, Samuel Zebedayo, Credo, and Fatma. Check out a few pictures from each one of… (0 comment)