CORPORATE CHIC:JEAN #16
ORPORATE CHIC NI JILIAN MCHINA ILA AISHI MAREKANI,ANAFANYA KAZI KATIKA MAMBO YA FINANCE.ANABLOGUA KWA EXTRAPETITE MGOOGLE ALIAMUA ITA BLOG YAKE EXTRAPETITE MAANA NI SIZE 5FT NA NI MWEMBAMBA NGUO KUPATA NI SHIGHULI NYINGI LAZIMA APUNGUZE SO AKAAMUA ANZISHA HII BLOG ASAIDIE NA WENGINE SIZE YAKE PAKUPATA NGUO NA JINSI GANI UVAE IKUKAE. SI LAZIMA BLAZER… (0 comment)

ALJUMAA KAREEM:HIJABISTA MARY
CORPORATE LOOKS YES WAWEZA KUWA CORPORATE CHIC IN HIJAB PIA NI WEWE TU UTAKAVYOAMUA STYLE YAKO IWEJE.MARY YEYE ANATIGA HIJAB LAKINI PIA AKIWA ANAMAINTAIN UCORPORATE WAKE. KITENGE PEPLUM TOP NICE COLORS ZIKO COORDINATED WELL MAXI SKIRTS ANKARA MAXI DRESS CREDIT:INSTA @BIGEYEDMARY… (0 comment)

CORPORATE LOOKS FROM ANNIE
PATA MUONEKANO WA KIOFISI KUTOKA KWA ANNIE AMBAE KWA UREFU WAKE NA MWILI WAKE ANASEMA ANAPATA SANA SHIDA KUPATA NGUO ZA SIZE YAKE SO MARA NYINGI HULAZIMIKA KUNUNUA SIZE KUBWA NA KWENDA KWA FUNDI KUPUNGUZA AU KUBANA .ILA MWISHO WA SIKU ANATOKELEZEA KAMA HIVI KUANZIA SKIRTS,VIGAUNI,BLAZERS NA POCHI.… (0 comment)