5 TIPS ZA KUA MIKONO SOFT.
Dry hands inaweza kuwa imesababishwa na vitu vingi, either baridi au hata kuwa hau-moisturize mikono vizuri ndio maana mikono yako inakua inakauka na hata kupasuka, unatokewa cracks. Ni ngumu sana kupata moisturizer ambayo itapenda ngozi yako na kukusaidia ngozi iwe laini, sio lazima kutumia hela nyingi kununua cream ambayo itaondoa hilo tatizo, unaweza pia kutumia… (0 comment)

Bongo Uzuri : Jinsi Ya Kuondoa Alama Za Sidiria Mwilini, Alama Zinasababishwa Na Nini?
Hello Loves, nimepokea swali ambalo huwa linawasumbua wadada wengi. Hizi alama zinazotokea kwenye mabega au mgongoni, alama za sidiria. Alama inaweza kukutokea ikwa ni rangi nyeupe kuliko rangi ya ngozi yako au ikaweka weusi. Now, hii inatupa ugumu, unakuwa huwezi kuvaa hizi trend zetu za kisasa kama vile off-shoulder na backless styles, maana hizo alama… (0 comment)

Bongo Uzuri : How To Use Coconut Oil To Remove Makeup.
Coconut oil / mafuta ya nazi ni bei ndogo kuliko cleansing wipes ambazo wengi tumeshazoea kutumia, except mafuta ya nazi yanafanya kazi vizuri zaidi, na pia yanasafisha ngozi yako, yanaondoa mikunjo chini ya macho na hata kukuza kope zako. Mafuta ya nazi yataondoa mascara yako yote, sio kama cleansing wipes, nadhani mtakubaliana na mimi hapa,… (0 comment)

Mazoezi 7 Yatakayobadilisha Mwili Wako / 7 Exercises That Will Transform Your Body.
Exercising is an important thing kwa kila mtu , sio kwa ajili ya kupunguza turn mwili bali mazoezi hukuacha ujisikie mwenye nguvu na utakuwa fit siku nzima, na hata kuepuka magonjwa mbali mbali.  Mazoezi 7 Yanayokufaa; 1.Jumping Rope/ kuruka kamba. Mazoezi haya yana burn more calories per minute kuliko mazoezi mengine yoyote. 2.Squats. Haya yana… (0 comment)

Bongo Uzuri : 5 Ways Unaharibu Kope Zako Bila Kujua.
Urembo una gharama yake, lakini it is always better ukijua ni kitu gaini kinakuletea faida na kipi kinakuletea hasara katika your beauty routine. Hizi ndio njia 5 ambazo zinaharibu kope zako. 1.You curl your lashes baada ya kupaka mascara. Uki-curl lashes zako baada ya kupaka mascara inafanya kope zako zikauke na kukakamaa ambapo huwa ni… (0 comment)

Best Natural Ways To Get Rid Of Vaginal Yeast Infection ( Maambukizi Ya Chachu Ukeni).
Ladies at a point in your life ni lazima tu utakumbwa na haka katatizo..and as a woman unatakiwa ujue ni nini utafanya endapo utapata yeast infection huko chini. Kwa waliowahi kupata mnajua how irritating it is, ni mchanganyiko wa uvimbe na muwasho, na unakosa uhuru kabisa wa kukaa. Na utaona vitu kama cottage cheese inatoka… (0 comment)