TIPS ON HOW TO LOOK GOOD WITHOUT MAKEUP/ FANYA HIVI ILI USO WAKO UPENDEZE BILA MAKEUP
Some days mtu unataka kuwa makeup free laini lakini ukifikiria kuwa hutopendeza Bila makeup ndio tatizo. Unaweza kupata ngozi nzuri na laini na ukapendeza hata Bila makeup. Fata tips hizi zifuatazo:: 1.Tumia Tinted moisturizer with SPF. Badala ya kutumia foundation, tumia a tinted moisturizer with enough spf. Hii italinda ngozi yako na Kui hydrate na… (0 comment)

5 TIPS ZA KUA MIKONO SOFT.
Dry hands inaweza kuwa imesababishwa na vitu vingi, either baridi au hata kuwa hau-moisturize mikono vizuri ndio maana mikono yako inakua inakauka na hata kupasuka, unatokewa cracks. Ni ngumu sana kupata moisturizer ambayo itapenda ngozi yako na kukusaidia ngozi iwe laini, sio lazima kutumia hela nyingi kununua cream ambayo itaondoa hilo tatizo, unaweza pia kutumia… (0 comment)

Bongo Uzuri : Jinsi Ya Kuondoa Alama Za Sidiria Mwilini, Alama Zinasababishwa Na Nini?
Hello Loves, nimepokea swali ambalo huwa linawasumbua wadada wengi. Hizi alama zinazotokea kwenye mabega au mgongoni, alama za sidiria. Alama inaweza kukutokea ikwa ni rangi nyeupe kuliko rangi ya ngozi yako au ikaweka weusi. Now, hii inatupa ugumu, unakuwa huwezi kuvaa hizi trend zetu za kisasa kama vile off-shoulder na backless styles, maana hizo alama… (0 comment)

Bongo Uzuri : How To Use Coconut Oil To Remove Makeup.
Coconut oil / mafuta ya nazi ni bei ndogo kuliko cleansing wipes ambazo wengi tumeshazoea kutumia, except mafuta ya nazi yanafanya kazi vizuri zaidi, na pia yanasafisha ngozi yako, yanaondoa mikunjo chini ya macho na hata kukuza kope zako. Mafuta ya nazi yataondoa mascara yako yote, sio kama cleansing wipes, nadhani mtakubaliana na mimi hapa,… (0 comment)

Mazoezi 7 Yatakayobadilisha Mwili Wako / 7 Exercises That Will Transform Your Body.
Exercising is an important thing kwa kila mtu , sio kwa ajili ya kupunguza turn mwili bali mazoezi hukuacha ujisikie mwenye nguvu na utakuwa fit siku nzima, na hata kuepuka magonjwa mbali mbali.  Mazoezi 7 Yanayokufaa; 1.Jumping Rope/ kuruka kamba. Mazoezi haya yana burn more calories per minute kuliko mazoezi mengine yoyote. 2.Squats. Haya yana… (0 comment)