OFA YA KUSOMESHA MSICHANA MMOJA #ZURIIBEAUTYACADEMY
Kama nilivyoahidi katika kusupport juhudi za my sisto @jestinagmerunitamsomesha msichana mmoja katika chuo na nitamsimamia aweze pata ujuzi / kazi /kipato na ashiriki #zezekibubuchallenge hadi#tuonanedesemba•VIGEZO NI1⃣ pendezeka/ JIPENDEKE jina lake HAPA na fuata ukurasa wa @zuriibeautyacademy2⃣Awe tayari kusoma na tuandikie sababu za wewe kumpendekeza / kujipendekeza yeye 3⃣tuma email kwenye INFO@ZURIIBEAUTYACADEMY.COM AU TUANDIKIE BARUA KISHA ILETE KATIKA OFISI ZA ZURII zilizopo #darfreemarketmallfirstfloor#urembofursa#zuriibeautyacademy… (0 comment)

JINSI YA KUFANYA FACIAL NYUMBANI / HOW TO DO A FACIAL AT HOME.
Ladies leo nimewaletea a step by step process itakayokuwezesha kufanya facial mwenyewe nyumbani. And kama kuna topic yoyote mnayohitaji kuletewa feel free kuaca comment hapo chini au tufollow kwa our Instagram page :: BONGOUZURI, acha comment au tuma DM (Direct Message) na utaletewa topic au kujibiwa maswali yako. *Toa makeup yote kabla hujaanza. STEPS. 1.CLEANSE… (0 comment)

UZINDUZI WA ZURII BEUTY CLINIC & SPA
Weekend hii mjasiriamali Jestina George Meru ambaye ni mmilikiwa ZuriiHouseofBeauty alizindua Zurii Beauty Clinic & Spa ambayo ipo ndani ya duka la Zurii. Wadau mbalimbali walialikwa kwenye uzinduzi huo akiwepo Salama Jabiri,Shamim Mwasha,Ankal Michuzi  Mazingira   Zurii Beauty Clinic & Spa inatoa huduma zifuatazo Zurii Beauty Clinic & Spa will be offically open today at… (0 comment)

Tumia Vitu vya Jikoni kwako Kufanya Magoti na Viwiko vya Mikono kua laini
Unaweza kua na ngozi laini sana kwenye uso wako au mwili kwako lakini linapokuja swala la viwiko vya mikono/elbows au magoti case inakuta tofauti sana sababu unakuta kunakua na weusi,roughness na hata kua na vipele au unakuta pamebabuka/ngozi kutoka toka ,simply sio palaini. Haya ni matatizo ya kila siku na wanawake wengi ni swala linalotukumba… (0 comment)

Hottest Beauty Looks of the 2018 Grammy Award
Leo ni GRAMMY tu huku kwa Blog sababu dunia nzima inaongelea Grammy so are we.This time tucheki makeup and hair looks from the stars. Janelle Monáe Janelle is no stranger to out-there red carpet beauty looks, but her blue eyeliner and bleached pixie truly brought this look to new heights. Hailee Steinfeld Hailee’s soft blue,… (0 comment)

MUA Cherie Mals New Make up look is not your aver age Face Beat
Speaking of going outside the box Cherie Mals ameamua kuwa totauti kidogo ,kuamua kutoka kwenye mambo tuliyozoea sisi,especially make up. Kaema hatafata society inachitaka afanye atafanya atakacho yeye kwenye ulimwengu wa makeup  BLANK CANVAS ~ Too often We are caught in between what society wants us to be and what We want to be….. _______________… (0 comment)