TIPS ON HOW TO LOOK GOOD WITHOUT MAKEUP/ FANYA HIVI ILI USO WAKO UPENDEZE BILA MAKEUP
Some days mtu unataka kuwa makeup free laini lakini ukifikiria kuwa hutopendeza Bila makeup ndio tatizo. Unaweza kupata ngozi nzuri na laini na ukapendeza hata Bila makeup. Fata tips hizi zifuatazo:: 1.Tumia Tinted moisturizer with SPF. Badala ya kutumia foundation, tumia a tinted moisturizer with enough spf. Hii italinda ngozi yako na Kui hydrate na… (0 comment)

5 TIPS ZA KUA MIKONO SOFT.
Dry hands inaweza kuwa imesababishwa na vitu vingi, either baridi au hata kuwa hau-moisturize mikono vizuri ndio maana mikono yako inakua inakauka na hata kupasuka, unatokewa cracks. Ni ngumu sana kupata moisturizer ambayo itapenda ngozi yako na kukusaidia ngozi iwe laini, sio lazima kutumia hela nyingi kununua cream ambayo itaondoa hilo tatizo, unaweza pia kutumia… (0 comment)

Zifahamu Sehemu Muhim za Kuspray Perfume Ili Ikae/Idumu Siku Nzima Mwilini
Mara nyingi kwenye kuspray perfumes /scents zetu sehemu common tunazojua ni SHINGONI,KWENYE WRIST,NA KWENYE NGUO this is all wrong kama ulikuwa wafanya hivi ,time to change up. Unakuta perfume ni nzuri tu but wajiuliza kila siku mbona haidumu siku nzima????well makosa ndo hayo na mengine nakujuza kaa nami. 1.CHANGUA THE RIGHT PERFUME Hiki ndo cha kwanza… (2 comments)

NJIA 2 ZA KUSAFISHA NGOZI KWA KUTUMIA KAHAWA.
Yes loves, coffee hii tunayokunywa Kila siku kwa  wale coffee addicts you should know that unaweza pia ukatumia kahawa kusafisha ngozi yako. Unaweza kuitumia kama scrub kwa kuchanganya na vitu vingine ili kuondoa michirizi/cellulite na Acne/chunusi. 1.COFFEE SCRUB FOR CELLULITE. Chukua coffee grounds na coconut oil, changanya vizuri kisha itumie kama scrub nyingine katika sehemu… (0 comment)

Victoria Beckham Shares Her 5 Minutes Face Routine with her Own Makeup Collection
Victoria Beckham is becoming a fashion icon with more success She involved kwenye new project with Vogue na we all know Vogue is a big deal kwenye ulimwengu wa mitindo. Victoria has released a new makeup capsule collection in conjunction with Estee Lauder and has released a five-minute tutorial for Vogue’s YouTube. Kwenye video hii… (0 comment)

Jinsi ya Ku Cover Chunusi kwa Make Up.
wengi wenye chunusi inakuwa hata shida kupaka makeup wanawaza kwamba make up hizi hazitaficha hata hizo chunusi wana amua hata kutokupaka kabisa . Well huyu vlogger Dominique ukicheki picha zake utasema hana hata chunusi moja ila anazo za kushoa tu but anazificha na make up. I hope kupitia hii tutorial basi utaweza kujipaka mwenyewe make… (0 comment)