TBT TO PATA MUONEKANO WANGU ”GML” ATHLETIC CHIC LOOK
Post hii nayo ya pata muonekano ilibamba mnooo,jamani nani kamiss hizi series za Pata muonekano???share kwa comments below SHIRT DRESS BY UPS FASHION WEAR WANAPATIKANA ::NAMANGA NEAR EDDO CHIPS INSTAGRAM ::@UPS_FASHION_WEAR WACHEKI ::0717 835222 MY HAIR STYLE :: NATUMIA SHEAR MOISTURE PRODUCTS UTAZIPATA BACK TO AFRICA CHUMBA NAMBA 70 DAR FREE MARKET #T444ZHAIRFOOD & NA… (15 comments)