Let’s Wear Kitenge for Work This Week
We are dedicating this week kwa corporate chicas kuvaa vitenge iwe skirt,top ,blazer ,dress you name it mradi tu iwe appropriate for work. power kitenge suit  simple kitenge dress statement kitenge skirt with top love this top jumpsuit  white bow top  and trousers here opt for a blouse and wide leg kitenge trousers  … (0 comment)

Mishono Amazing ya Kitenge For Casual looks #228
Si lazima ushone kitenge sababu ya harusi kama mwalikwa au kazini,waweza shona vimshono kibao kwa kutumia hata kitenge kimoja special kwa ajili ya casual days kama ni friday,au weekend hata travelling cheki mishono hii upate idea shirt dress uvaeje??vaa na flats,gladiators,sneakers ,tupia hata ki jeans jacket two piece hii waweza vaa kwa mtoto hata casual… (0 comment)

DESA MISHONO HII YENYE STYLE ZA  KIBABE #200
Kwa wale wadau wa Mishono akeni mkao wa kula naja kwenue na bonge ya GIVEAWAY SOON ,details zote nitawapa humuhumu msijali . So for now tucheki mishono hii ya kibabe Asymmetrical effect sheer and fringes lace and kitenge hiki kitenge huwa nakipendaga jamani Pink lace lovely combination mixed prints    … (0 comment)

MISHONO FOR WORKING MOMS #130
Here are the simplest mishono for any working moms out there ,With kids and work it’s never easy so kama wataka ku update your african prints  collection,we gat you covered with a sleeveless dress you can wear it with a blazer of a blouse under the dress Peplum dress with cold shoulders yes mwendo wa… (0 comment)

Cold Shoulders Kitenge Shift Dress
Do you own anything with cold shoulders???let it be a top,dress etc,yes ni trend ya muda tu sana na i love its  cuts ,kwa wanaopenda to show off a little skin na hii ni simple to wear sababu bra haionekani wala nini . and ina kama color flani simple and amazing ,wanaopenda vigauni simple ana… (0 comment)