Mkali wa Mishono :: Angel Obasi
Hello So kwenye hii segment tutawaletea pia wakali wa Mishono ,fashionistaz ambao wanavaa sana nguo za kushona especially vitenge ,lace,satin etc. Leo tuna mrembo Angel Obasi ambaye kwanza nahisi anapenda kifua chake maana most ya mishono yake she is serving cleavage.She is cute na anapendeza with piece she puts on.Ameshajijulia. love this off the shoulder… (0 comment)

Celebrities Who hit the Purple Carpet in African Prints at the “Black Panther” Hollywood Movie Premiere
These celebrities attended Disney and Marvel’s “Black Panther” Movie Premiere at the Dolby Theater in Hollywood, California. The had African prints/touches to their outfits  Tanika Ray Janeshia Adams-Ginyard in a two piece skirt crop top-skirt set with a matching hat. Jessica Oyelowo graced the purple carpet wearing a orange and purple ankara print dress. Mike attended the… (0 comment)

Mshono :: Kitenge Blazer Dress
Yes mwazikumbuka hizi blazer dress ambazo zimevaliwa sana ,tuliziongelea sana ,hata juzi nilipost hizi plaid,checks blazer dress ambazo zina trend kwa sasa Na kwenye african prints /vitenge watu wapo wanaenda na trends na kitenge kinakubali mishono yote.Desa Mishono kama wataka ki blazer dress cha kitenge  waweza ku dress down au up na sneakers au heels… (0 comment)