HomeBE INSPIRED

Shuhuda za Vibubu #tellusyourstory #zezekibubuchallenge

Shuhuda za Vibubu #tellusyourstory #zezekibubuchallenge
Like Tweet Pin it Share Share Email

YAAAAAAASSSSSSSSSSSSSS

Tulianza mwaka na @Zezekububuchallenge,December ndo hii watu washa anza kuvuna walivyopanda.Shuhuda bado zainaendelea kwa wale waliokua na discipline wakeweza ku save hela haijalishi kama ulifata ile ya kwetu ya ku save kwa wiki ,lengo ilikua kuweza ku save .

Hii iwahamasishe wengine basi kuanza tena January hii ya 2019,ambapo sasa tunaenda kwenye zezekibubudigital zaidi kuepuka wale walolalamika chuma ulete chuma ulete.

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.