HomeMISHONO

Sare Sare ::: Nani Kapendeza Zaidi kati ya Wolper na Aunty Ezekiel

Sare Sare ::: Nani Kapendeza Zaidi kati ya Wolper na Aunty Ezekiel
Like Tweet Pin it Share Share Email

Am sure kila mtu ana nguo yake ni sare sare tu.

Nguo zimeshonwa na house of stylish kwa Jacqueline Wolper

Skirt ndefu ya lace pamoja na top yenye mix ya lace pia

Nimependa mshono wa top

Wolper alivaa muonekano wake na viatu vyekundu ku add kidogo color pamoja na lipstick nyekundu

Aunt yeye alikeep it black with bold red  lipstick

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.