HomeSARE SARE

SARE SARE ::: Aunty Ezekiel na Binti yake Cookie

SARE SARE ::: Aunty Ezekiel na Binti yake Cookie
Like Tweet Pin it Share Share Email

Aunty anapenda sana nguo nyeusi,but did you know kwamba nguo nyeuzi zinakuafanya uonekana kidogo mwembamba???sijui this was the idea behind all her black outfits au ilitokea tu kwamba black ni rahisi kuvaa usiku au kwenye sherehe yoyote,you can never go wrong with black.

Her and daughter cookie are the perfect mother daughter in their tutu dresses ,its nice kuwa na mtoto wa kike  sababu you can play dress up .

how amazing is their tutu dresses ????

hizi dress wamemix lace na tutu ,kuna kama highlow effect flani hivi pia

nimependa pia Aunty alivyo add floral accessories kwenye lemba lake na viatu

too cute

 

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.