HomeUncategorized

Rihanna Paired her Double Denim Ensemble With Metallic Silver Boots + Kachambwa kuchelewa kwenye Show

Rihanna Paired her Double Denim Ensemble With Metallic Silver Boots + Kachambwa kuchelewa kwenye Show
Like Tweet Pin it Share Share Email

Rihanna bwana kachambwa huko kwenye twitter na mashabiki zake kwa kuchelewa kwenda kwenye show yake

Mashabiki wamemsubiri kwa muda wa dakika 30 wakaona isiwe tabu huyu ni jipu tumtumbue .

Vichambo alopewa mwisho wa post nawawekea

376B689200000578-3750162-image-a-14_1471678123170

Kwa usiku huo wa show Riri alitoka kwenda zake outing na Justin Bieber

Riri looked super casual in her double denim lookRIHANNA (3)

She decided to go braless with her denim jacket and mini skirt akiwa ame accessorize muonekano wake na her Dior /Feny sunglasses na a nice choker necklace with metallic bootsRIHANNA (2)

baada ya party kuisha she stepped out with a black cape
RIHANNA (4)

Riri alikuwa aki party na Justin mpaka watu wakashangaa kuwa ame have too many beers with justin hadi kashindwa kwenda kwenye show???377989BF00000578-0-image-m-120_1471823968741

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.