HomeWedding

Rest Bura’s Wedding

Rest Bura’s Wedding
Like Tweet Pin it Share Share Email

Resty Bura akijulikana zaidi kama rest fish bbq sababu ya ujasiriamali wake anaofanya wakuuza samaki ,ndizi choma ,nk ,ni mrembo ambaye amejizoelea umaarufu mkubwa sana tu huko instagram akiwa anatumia mitandao vizuri kufanyia biashara.

This weekend alifunga ndoa na Mr.Lawyer kama anavyopenda kumuita yeye mwenyewe.But kabla ya harusi tucheki picha za matukio kama ya pre wedding photoshoot,,Bridal shower ,Send off  and the wedding.

Decor 

Alinoga make up 

ladies in white 

selfies  more friends 

cake

Pre Wedding Photos

theme ilikua ya kitchen kupika pika nini

sweet 

na pool table ilihusika pia

Send off 

make up by Lavie makeup

she wore an emerald green one shoulder dress

which i think kwa juu halikukaa sawa sababu ya mkono mmoja,but alipendeza,nilipenda details za nyuma pia huo mburuzo amazing

Aliingia na wimbo wa Jesus did it again wa Sinachi

back of the dress

na baby girl wake

Wedding day

Rest ulipenda sanaaa

god bless your union

Comments (1)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.