HomeUncategorized

Reasons zilompeleke Angelina Jolie ku file Divorce from Brad Pitt,Moja ikiwa uvutaji bangi na Ulevi

Reasons zilompeleke Angelina Jolie ku file Divorce from Brad Pitt,Moja ikiwa uvutaji bangi na Ulevi
Like Tweet Pin it Share Share Email

488x-1After miaka 12 ya kuwa pamoja na miwili ya ndoa ,Angelina Jolie calls it quit na Brad Pitt ,jamani wengi jana waliona labda ni Kick but kwakweli its true sasa basi hii ilikuwa COUPLE GOALS  kwa wengi sasa na hawa yamewashinda duh it’s so sad kuona watu waki achana.

Kwanza inasemekana mwaka 2004 japo Brad Pitt alikuwa mume wa Jennifer Aston lakini walikuwa wanatoka since wakiwa wana shoot Mr and Mrs Smith and the rest is history

Sababu ni nyingi sana za Angelina kutaka divorce

1.Angie anasema Brad Pitt is a bad dad which inamfanya aonekane kuwa hafai kuwa karibu na watoto wao ambao ni  ambao ni  Maddox, age 15; Pax, aged 12; Zahara, aged 11; Shiloh, aged 10; and twins Vivienne and Knox, aged eight.

2.Jolie alim hire mtu amfatilie Brad akajulikana ana cheat na actress Marion Cotillard ambaye kwa sasa hivi ndo ameigiza naye his latest movie ,hii kama ni kweli basi ni tabia yake Brad maana alifanya hivi akiwa na kwenye ndoa na Jennifer Aniston

3.Brad ni mlevi na mvuta bangi hii ni sababu nyingine

4.Pitt ana hasira

watu wanasema Jennifer atakuwa kafurahi eti Karma is a Bi*** ,sidhani kama kuna mtu ambaye anafurahia hii issue ya ndoa.

a-copy-of-papers-filed-at-los-angeles-superior-court-by-angelina

walifunga ndoa mwaka juzi hapa wakiwa na watoto wao.
angelina-jolie-brad-pitt

Huyu ndo Marion Cotillard kwenye movie mpya na wanavyopenda kick masaa machache baada ya taarifa za divorce na wakatoa trialer ya movie hii ya ALLIED

vrad-pitt-marion-cotillard-five-second-silence-movie-set-costumes-tom-lorenzo-site-1

Hii itakuwa ni ndoa Brad ya pili baada ya ile na Jennifer Aniston while Jolie hii ni ndoa yake kuvunjika ya tatu Johnny Lee Miller  1998 and Billy Bob Thornton in  2002

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.