HomePata Muonekano

Pata Muonekano ::: My 40th Birthday Look

Pata Muonekano ::: My 40th Birthday Look
Like Tweet Pin it Share Share Email

 

Jana 14th January ilikua birthday yangu na nimetimiza miaka 40 ,Yes fabulous 40.

#happybirthdaytome #badass#capricornbaby
#fabulous40 #Fabfitmom
#lifestartat40 #celebrating40years
Sina maneno meengi yakusema zaidi ya kutumia #hashtag
.
Wanasema maisha yanaanza miaka 40, leo ndo naanza maisha??‍♀️
.
Kikubwa ni kumshukuru mungu kwa kuniwezesha kuishi miaka 40 katika dunia yake na naomba aniwezeshe nitimize ndoto yangu ya kuwaachia urithi familia yangu na watu woote watakaobahatika kunifahamu au kuniskia uwepo wangu hapa duniani ??
#nawapenda?
.
#patamuonekano
Dressed by @evecollections
Makeup by @laviemakeup
Photo by @abdul8819 .
#digitalinfluencer
#fashionblogger

 

 

 

Comments (1)

  • Happy birthday honey! You are super grateful to turn 40 and that is really good. May God grant you many more years of happiness and peace. Happy Birthday!

    Reply

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.