HomeMISHONO

Pale unapoalikwa kwenye Harusi unaingia ku Slay na Mshono kama huu

Pale unapoalikwa kwenye Harusi unaingia ku Slay na  Mshono kama huu
Like Tweet Pin it Share Share Email

Naona sasa hivi fringes kwenye evening dress zina kick sana huko kwa wenzetu.Wa Nigeria kwa kushona nguo bwana dah ki Africa wanashika nafasi za juu.

Kama mtu anavaa hivi kwenye harusi ya mtu jamani oneeeni ma bibi harusi huruma ,sio kwa upendezaji huu jamani kah ,yani hapa nimemkumbuka hadi lulu.

Kanoga haswaaaa

huu mshono hata kwa send off unafaa sana au kwa dress no 2

the back

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.