Hongera Leyla kwa tuzo ya Malkia wa Nguvu
Hongera nyingi kwa Leyla ambaye amepata tuzo ya Malkia wa nguvu kwenye category ya Biasahara reja reja . Ame dedicate tuzo hii kwa wanae kama alivyo andika kwenye insta page yake JANA NILIDEDICATE HII ZAWADI KWA WANANGU MANA WAMEJITOA NA KUNIVUMILA KWA MENGI HUYU MDOGO HAD ALIACHA SHULE ASHIKE KAZI NA ANAIWEZA HASA LKN NAJUA… (0 comment)

Video::Couple Outfit Ideas
#Issatrend kwa sasa huko instagram watu wana anza kupunguza kupost picha now ni video zaidi from Instagram ,models ,fashion influencers its all about how to style pieces kwa video not maelezo na picha anymore. Ntawaletea series za hizi video so we can all perfect out style game,here ni couple wanatuonyesha how they dress up,hope it… (0 comment)

Flaviana Matata kwa Kampeni ya #TodayWeWill
Flaviana Matata akiwa na wenzake wengine wanne wamekua feature kwenye Naturalizer kupitia kampeni yao ya #TodayWeWill ambayo ina hamasisha kunyanyua wengine ,kama umefanikiwa na umuhimu wa kusaidia wengine nao wanyanyuke. Flaviana ameongelea mengi akiwa kama Model na mjasiriamali akiwa Founder pia wa Flaviana Matata Foundation focus yake ipo kwenye ku empower wasichana kupitia elimu,ku give… (0 comment)

High Quality Lace na Mitandio at Katty Collection
Katty collection wakali wa African prints, wana material zote utakazohitaji kwa ajili ya mishono yoyote, from vitenge, batik, wax, woodin material, lace na nyingine nyingi. Pia Ni wataalam was kushona nguo za wote, men, women and kids Wanapatikana Mikocheni, Mwai Kibaki Rd. (Behind Master Club) Wafollow Instagram: @kattycollection  Open :Monday – Saturday8:00AM -7:00PM Mobile +255 757… (0 comment)

Hajis Manara Safari yake ya Soka
Kabla ya kujikita kwenye michezo @hajismanara alipitia changamoto na mafanikio mengi, tangu utoto alikua na nyota ya kipekee,akionyesha kusimamia vyema na kuhakikisha kupata kile anachotaka!Je Ungependa kujua mengi kuhusu yeye? Ungana Jumanne hii kwenye kipindi cha #MAISHAYANGU saa 3 usiku @dstvtanzania… (0 comment)