A doze of Melanin from Aunt Ezekiel and Her Daughter
With the term Diversity kutumiwa sana kwa sasa duniani kote,wanawake wengi kwenye upande wa ngozi zao wana anza kujipenda na wale ambao ni dark skinned wanakua more confident sababu wengi wanafikiri urembo ni kua mweupe. Kwa sasa hata models weusi wameongeza sana nasemea wale Melanin weusi haswaa wakuteleza . I love Aunty Ezekiel kati ya… (0 comment)

Ramadan Collection 2019 from Katty Collection
Katty collection wakali wa African prints, wana material zote utakazohitaji kwa ajili ya mishono yoyote, from vitenge, batik, wax, woodin material, lace na nyingine nyingi. Pia Ni wataalam was kushona nguo za wote, men, women and kids Wanapatikana Mikocheni, Mwai Kibaki Rd. (Behind Master Club) Wafollow Instagram: @kattycollection  Open :Monday – Saturday8:00AM -7:00PM Mobile +255 757… (0 comment)

Ramadan Look Book by Azure Kange
Asalama Aleykum ,am hoping by the Grace of Allah we are all doing great na tunaendelea vyema na swaum zetu,tumuombe Allah azikubali swaum zetu,sala na dua zetu maana ni mwingi wa Rehema. Leo nakuja na fashionista and blogger Azure Kange and her lookbook ya Ramadan na amekuja na 4 looks which she share on her… (0 comment)

Irada Style New Collection 2019
Designer na stylist Irada kutoka Irada style ame share na sisi her new collection ,pia ni Ramadan collection 2019,Eid collection inakuja soon. Kuna bubu za style tofauti ,mitandio pia CustomMade #BuuBuu from Modest Stylist mwenyewe na Mbunifu wa Kitanzania…brand kubwa ya Modesty #IradaStyle….picha imetokaje 😜😜😍😍 Basi fanya kuja Whatsapp 0710878889 au DM Angalizo hizi #BuuBuu… (0 comment)