HomeBE INSPIRED

Ommy Dimpoz and Millard Ayo Looking Dapper

Ommy Dimpoz and Millard Ayo Looking Dapper
Like Tweet Pin it Share Share Email

Am happy Ommy Dimpoz kapona i mean anaendelea kurecover but the worst is over,leo nimesikiliza interview yake kwa kipindi cha Joto la Asubuhi yani kapitia mengi sana,Insha Allah mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi upone kabisa.

Ameachia nyimbo yake mpya inaitwa Wewe akimtukuza Allah kwa kumpa uhai ,kumponyesha pia.

Akiwa na Millard Ayo kwenye interview yake ,kapendeza Ommy ,wote wawili wame damshy haswa.

Tazama nyimbo mpya ya Ommy Dimpoz Ni Wewe

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.