HomeBeauty

OFA YA KUSOMESHA MSICHANA MMOJA #ZURIIBEAUTYACADEMY

OFA YA KUSOMESHA MSICHANA MMOJA #ZURIIBEAUTYACADEMY
Like Tweet Pin it Share Share Email

Kama nilivyoahidi katika kusupport juhudi za my sisto @jestinagmerunitamsomesha msichana mmoja katika chuo na nitamsimamia aweze pata ujuzi / kazi /kipato na ashiriki #zezekibubuchallenge hadi
#tuonanedesemba

VIGEZO NI
1⃣ pendezeka/ JIPENDEKE jina lake HAPA na fuata ukurasa wa 
@zuriibeautyacademy
2⃣Awe tayari kusoma na tuandikie sababu za wewe kumpendekeza / kujipendekeza yeye 
3⃣tuma email kwenye 
INFO@ZURIIBEAUTYACADEMY.COM AU TUANDIKIE BARUA KISHA ILETE KATIKA OFISI ZA ZURII zilizopo #darfreemarketmallfirstfloor#urembofursa#zuriibeautyacademy

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.