HomeNyumbani

#TBT :: NAKUJUZA VITU 9 MUHIMU UNAHITAJI KWENYE CHUMBA CHAKO CHA KULALA

#TBT :: NAKUJUZA VITU 9 MUHIMU UNAHITAJI KWENYE CHUMBA CHAKO CHA KULALA
Like Tweet Pin it Share Share Email

Hello

Ile segment yetu ya nyumbani imerudiiii kwa kasi kila wiki tutakueletea post moja ya decor za nyumbani kama kuna kitu ungependa tukusaidie kutafuta ideas mbalimbali za home decor please tuambie kwenye comments below.

Leo tunakuletea vitu 9 muhimu vya kuhakikisha unavyo chumbani kwako unapolala kwa wale mnaopenda interior decor basi karibuni,For a stylish bed room basi hapa ndo umefika.

Kama una duka la Home decors ungependa pia tukutangazie na kutembelea dukani kwako kuonyesha vitu mbalimbali basi tuandikie kwa shamyomy@yahoo.com instagram @8020fashions

TWENZETU.picture-of-the-most-beautiful-murphy-bed-with-tufted-pillowed-headboard-and-practical-bookshelf-feat-fluffy-area-rug-930x844

1.A COMFORTABLE RUG

You need a rug /zulia inategemea unapenda la manyoya sana au la kawaida tu wengine wanapenda liwe chumba kizima wengine nusu tu ,either way ni wewe upendavyo tu.
b7603cd527929e6a7dd9d8e014e7d140

The rug can be small au kubwa wewe tu unavyopendezwaComfortable-rug-in-bedroom-620x498

Zile rugs zenye manyoya sanaa make sure unakuwa msafi usimwage mwage vitu vyenye maji maji maana yakiingiaga maji harufu yake utalichukia.

master-bedrrom-design-with-king-size-bed-headboard-work-desk-with-chair-coffee-table-new-laptop-modern-deask-lamp-window-with-blind-flower-in-vase

2.BEDROOM THEME

Wengi wanafikiri themes za bedroom ni kwa watoto peke ake la hasha hata kwa wakubwa pia,kuna wanaopenda romantic themes,all white etc
romantic-master-bedroom-themes-images-04

Hapa naona huyu alipenda kuwe pa brownish flani hivi

throw-pillows-for-bed-decorating

3.THE RIGHT AMOUNT OF THROW PILLOWS

Hizi throw pillow ni a must have kwenye bedroom yako, kuna hapo za kurembea na za kulalia you need enough of them, ila kuna wengine wanapenda mingi inakuwa half of the bed ni mito tu,another day ntakuja waonyesha jinsi ya kuipanga.
bedroom-sitting-room-ideas

4.A PLACE TO SIT AMBAYO SIO KITANDANI

Kitandani ni mahali pa kulala japo kuna wengine mwakaa ila tafuta kitu cha kukalia kama sofa kama hizo hapo juu au viti
sit

Wengine wanatumia ile space ya dirisha kujenga hapo droos kwa ajili ya kuhifadhia vitu na juu unaweka cushions na mito panatosha kukaa tena kuna view nzuri kama uko gorofani unaka hapo kusoma kitabu au kufikiria tu na kupanga mipango yako.

Fun-yellow-accents-in-the-black-and-white-bedroom

viti pia vyapendezaantique-bedroom-thing-collection

5.COLLECTION YA VITU UNAVYOVIPENDA

Ni vizuri kuwa na collection ya vitu vyako unavyopenda kuvitumia kama decor mfano vitabu mbalimbali
cll

Kama una awards zako au decor zozote zile waweza tengenezea shelf kama hilo unaweka .furniture-bedroom-mirror-bedroom-nighstand-with-storage-and-double-swing-door-panel-plus-square-used-wood-pedestal-night-tables-for-bedroom

6.A NIGHT STAND

Umuhimu wa kuwa na a night stand mbali tu na kuwa ni decor pia waweza hifadhi vitu humo kama books,remotes ,taa ,weka hata maji ya kunywa kama huwa wanywa usiku.
true-value-paintedsidetables

Unaweza pia kwenye night stand ukaweka picha za familia yako au yakwako ,flowers etc.

pics

7.PHOTOS ILA SIO ZA WATU

Last week nliwaletea wall decor huko tulisema weka picha za familia ila huku chumbani weka tu za urembo au kitu kinacho ku Inspire zaidi.Bedroom-Furniture-3

picha za flowers au wanyama piaQuality-Bed-Mattress8.GODORO IMARA/QUALITY MATTRESS

Make sure una invest kwenye matress yenye quality nzuri.Utalala comfortable

sexy-glamour-dark-bedroom-620x413

9.ELEMENTS OF DRAMA

Chumba kidogo kiwe na drama mfano hizo bold colors kama hiyo red au hiyo picha nzurii ya lips54c15e3a12cf2_-_rating-and-design-interiors-modern-transitional-bedroom-xln

Tupe maoni yako kwenye kipengele hiki ,wapenda kuona nini zaidi please comment below

we love you for reading this 

Comments (12)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.