HomeNyumbani

Nyumbani ::: Give Your Bedroom a fresh new look with these 8 Bedroom Ideas

Nyumbani ::: Give Your Bedroom a  fresh new look with these 8 Bedroom Ideas
Like Tweet Pin it Share Share Email

Am sure kila mtu anakuwa bored na muonekano wake wa nywele sometimes hata mavazi na kuamua kubadilisha ,hivyo hivyo huwezi kukaa na chumba cha kulala na muonekano huo huo mwaka mzima it’s always refreshing ukibadili muonekano si lazima kununua furnitures mpya hapana ,waweza badili hata tu the lay out au positions ya ulivyopanga vitu vyako.

Si lazima kuweka budget kubwa sana but kama unayo why not

Nakupa ideas kadhaa ambazo waweza kutumia na ku achieve a nice look of your liking

let’s goooo

bedroom-ideas-7

1.Add Wallpaper

Huhitaji to paint your bedroom kama you don’t want to ,unaweza tu kuweka a nice wallpaper ,cha kuzingatia ni make sure una chagua a focal point on your room na weka wallpaper ku tengeneza an accent wall,kuweka wallpaper behind your bed kuna saidia na kukipa chumba chako a more majestic appearance the waweza add accessories amabzo zinaendana na wall paper yako kama foronya au lights etc bedroom-ideas-8

2.Switch up Nightstands

Night stands ni zile meza za pembeni ya kitanda najua wabongo wengi hizi hatuzingatii sababu ni ku kremisha kwamba kitanda lazima kikae ukutani but si kweli waweza weka kitanda kikawa na nafasi za kuweka meza ambazo zinapendezesha chumba na pia zinasaidia kuhifandhia vitu vyako wakati wa kulala kama simu,vitabu ,taa ,chaja nk. weka side table na make sure basi zinakuwa na urefu sawa na kitanda chako

bedroom-ideas-4

3.Add Hotel Details

Wengi wenu mnapenda decor za hotels ambazo mmeshawahi kutembelea na huwa ni nzuri mno,so muwe pia mwachukua inspirations huko.

Adding  a pair of comfortable and inviting chairs uviweke at the end of bed hii itakupa muonekano amazing sana ,na utapata a cozy place ya kukaa ukisoma au kuchat maana kusoma ni mtihani kwa sisi wa Tanzania wengi ,au hata a place to relax nani ata resist those chair ???

bedroom-ideas-24.Try a Dark Wall Color

One thing to expect kwenye dark wall color ni kwamba zina create intimate and inviting feeling in a room,Ziko great pia kwa ajili ya living room aka Sebuleni ,dining room .So ukiweka wall za dark color hakikisha kuwa the floor na ceiling zina lighter color ,waweza add some throw pillows ku match  the the walls

bedroom-ideas-15.Create a Cozy Corner

Every room has an angle corner tumia hiyo corner kujiwekea a cozy corner karibu na dirisha weka  a comfortable chair and a side table ,art work pia itasaidia

it will be your me corner kukaa na ku reflect on your life 

bedroom-ideas-66.Create a Custom Headboard

Heardbord ziko nyingi ila ile ya kitanda chako kama sio nzuri sana au ya kisasa waweza create it mwenyewe  ,itapendeza sana kama utaweka ana art wall nyuma ya kitanda chako au a high headboard .

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.