HomeBE INSPIRED

Mwana Hip Hop wa Kike Chemical abadili Muonekano wake ,U sister do at its Best

Mwana Hip Hop wa Kike Chemical abadili Muonekano wake ,U sister do at its Best
Like Tweet Pin it Share Share Email

Tunamjua mdada wa kuchana Chemical akiwa anafanya vyema kwenye muziki wa Hip Hop and kwa sasa amechukua karata ingine kabisa kwenye ulimwengu wa fashion na style.

Baada ya kuvaa sana ki tomboy flani hivi now amechange ,anavaa more girly,heels ,lace wigs ,vigauni.which haikua style yake alikua anapenda sana jeans ,vest,mashati na sneakers .

YES/No…?

A post shared by Mwana-wa-lubao (@chemical_tz) on

Anafata nyoyo za wana Hip Hop wa kike wanaochana but wanavaa kidada na wanatokelezea sana,haikufanyi uwe mlaini hapana mtu Kama Nicki Minaj anachana ila anabanwa ile ile

ARE WE LOVING THE NEW CHEMICAL????

Hope you find what works for you and slay

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.