HomeMISHONO

Mshono #291 :::Hiki Ki skirt cha Da Shamim Mwasha Kilichotrend Nairobi na Tz

Mshono #291 :::Hiki Ki skirt cha Da Shamim Mwasha Kilichotrend Nairobi na Tz
Like Tweet Pin it Share Share Email

Da Shamim aka Zeze yuko Nairobi akihudhuria Director Seminar kutoka Oriflame ,akiwa huko naona kaja na style ya Slow Mo nikimaanisha slow motion maana si kwa video zile kali zenye slow motion.

Moja ya vivazi vyake pendwa ni hiki ki pencil skirt toka kwa designer Mgece cc ,kimempendeza ,40 has never looked this sexy .

She styled it with a turtle neck top toka kwa Stopandshoproom wafollow instagram

Accessories  love the statement necklace  #statementnecklace … birthdaygift 😀😀😀(kama muandamane hivi eee … ndo ivooo🤸🏿‍♀️)

shoes zime match na skirt ,so nice huu muonekano ukiuangalia tu una brighten up your day 

Kwa corporate chicas huu mshono ni amazing

Comments (1)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.