HomeCORPORATE CHIC

Mh.Jokate Mwengelo is More into Suits and Blazers with No Make up Looks

Mh.Jokate Mwengelo is More into Suits and Blazers with No Make up Looks
Like Tweet Pin it Share Share Email

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mh.Jokate Mwegelo ,for a long time and still is one of our favorite former beauty queens,fashionista,muimbaji ,we have been following her style like forever ,amekua si muoga wa kujaribu style na fashion mpya ,

But now tangu awe Mkuu wa wilaya her style has changed kwa sasa no skin showing ,nguo fupi sana ,wala makeup ni very rare.Ukipita kwenye page yake alifutaga picha aka anza upya na sasa anavaa sana vitenge ,skirts hata jeans anavaa but with more modest tops .

Kitu ambacho kimenivutia ni yeye kua kama anapenda sana blazers na anavaa sana,pia suits ,more of her looks ni aina hizi za style ,blazer na skirts au gauni au full suit.

No makeup au minimal makeup siku hizi hata brows hapaki wanja yuko kikazi zaidi.

So here are few styles ambazo anavaa sana ,tell us below what do you think of her new look?

Yellow suit 

love this one by Ki2pe

cut yake nzuri

white 

blazer 

suit dress 

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.