HomeUncategorized

MAKE UP ZILIZOKUWA INSPIRED NA NAFAKA PAMOJA NA SPICES/VIUNGO

MAKE UP ZILIZOKUWA INSPIRED NA  NAFAKA PAMOJA NA SPICES/VIUNGO
Like Tweet Pin it Share Share Email

Kwenye photo shoot zote lazima kuna kuwa na theme au kitu kilicho inspire photo shoot hiyo same goes pia kwa make up artist nao huwa wanakuwa inspired na kitu flani na kuamua kucreate muonekano flani.Hii editorial ilokuwa feature kwa Magazine ya MANIA ya huko Naijeria.MAKEUP (4)

Ambapo models walikuwa buries kwenye Nafaka mbalimbali kama Mtama,Ngano hii ya chini sijui ni ubuyu huuMAKEUP (3)hapa kuna Karanga MAKEUP (2) MAKEUP (5) MAKEUP (6)

mchele hii nauona kwa pembeniMAKEUP (1)

hapa kuna mtama sijui na uwele

kazi kama hii inachukua muda na watu ni wabunifu haswaa.

credit;:bellanaija

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.