HomeUncategorized

Kim Kardashian First Public apperance Baada ya Kujifungua baby Saint.

Kim Kardashian First Public apperance Baada ya Kujifungua baby Saint.
Like Tweet Pin it Share Share Email

310B61B400000578-3439948-image-a-45_1455080641585

Kim naona katoka sasa kashakaa nyumbani tangu December baada ya kujifungua his son Saint.Alitoka shortly kwenye Xmas japo ilikuwa nyumbani kwa mama yake So haikuwa like an official Out and About.310AD7A300000578-3439948-image-a-24_1455074943339

Kilichomtoa ni kwenda na wanae North na Saint kumsuport Kanye Kwenye listening party aki launch Album yake inayo enda kwa jina la T.L.O.P.

310B714600000578-3439948-image-a-44_1455080583236

I think this is her now official hair style.Baby North all dressed up in black .310B704E00000578-3439948-image-a-43_1455080480869 310BC59400000578-3439948-image-a-2_1455087701413

Kanye alitoka na his outfit kama yenye rainbow colors.Ana mbwembe akawa hataki kupigwa pics na paparazi akajifunika usoni na his hood..310BC68D00000578-3439948-image-a-3_1455087737297north

3107C19E00000578-0-image-m-2_1455045260639 (1) 3107DC7000000578-3439352-image-m-30_1455046739204 northalienda huko kumsuport kanye na wanae wote wawili Saint na North
3107C19E00000578-0-image-m-2_1455045260639 (1) 3107DC7000000578-3439352-image-m-30_1455046739204

Caitlyn Jenner nae alikuwepo.

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.