HomeZezekibubuchallenge

KIASI GANI CHA FEDHA UNATAKIWA KU SAVE KUTOKANA NA UMRI WAKO.

KIASI GANI CHA FEDHA UNATAKIWA KU SAVE KUTOKANA NA UMRI WAKO.
Like Tweet Pin it Share Share Email

Ulishawahi kukaa na kufikiria kiasi gani cha fedha ulitakiwa ku save kutokana na umri wako?
Hivi ndo maisha yatakavyokua kama hauta chukua hatua na kuanza ku save •

MIAKA 20 -Me bado mdogo doing my thing 💄💃🏼💅🏽kinge kingiiiiii ,ndo wale i want to have fun nna miaka kibao nta save mbeleni.

MIAKA 30 – Niko kwenye relationship ,nina mkopo wa gari🚙 kila mwezi ,nakaa apartment 🏢nzuri bei yake nayo nzuri,napenda wine 🍷na kutoka out kila weekend ntaanza mwakani ku save.

MIAKA 35-Ku Save???Aaah ndo nimepata mtoto wangu wa kwanza👪 ,kuna pampasi ,chakula cha mtoto blah blah blah ,kulea mtoto ni very expensive .

MIAKA 40 -Gush tuna watoto sasa !👨‍👩‍👦‍👦Yikes !Hatujaenda vacation kwa miaka 3 sasa ,gari yetu ya pili imechakaa 🚐🚗tunahitaji kubadili,tunahitaji nyumba kubwa familia imeongezeka aaah tuta save mwakani.

MIAKA 50- Tumeanza kulipia watoto chuo ,tumejenga ,hela za viinua mgongo nazo si nyingi tunawaza kila siku retirement itakuwaje ,🤦🏽‍♀🤦🏽‍♀sijui Ben na Lucy wanawezaje wanaonekana wana manage vyema tu.

MIAKA 60- Mungu wangu miaka ime enda wapi??😔😔Darn it ,i wish ningeplan maisha yangu vizuri,sasa hivi nasubiri tu pension yangu ambayo mpaka sasa sijui kikokotoo kitasoma ngapi😭😭 •


MIAKA 70- Watoto wangu wanafanya makosa nilofanya mimi ,Mungu wangu nimefeli mimi ,inabidi niwafundishe na kuhakikisha hawafanyi makosa nilofanya mimi ili wasije kuishi kwa shida na kuwa affect wajukuu zangu pia.

#TafakariChukuahatua
#zezekibubuchallenge
#tuonaneDesemba

MONEYTALKSESSION jumamosi ijayo #April20@smartmoneydecisionsATATUPA NONDO za kiasi gani usave kulingana na umri
BOOK NOW📲0️⃣7️⃣6️⃣7️⃣4️⃣1️⃣8️⃣9️⃣4️⃣1️⃣

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.